1.Lo, ajabu kupata uzima katika Damu ya Mwokozi wangu!
Alinifia upendoni mimi niliyemsulibisha!
Upendo huu wakushangasha kabisa,
Wewe Mungu wangu kunifilia pendoni,
Upendo huu nashangaa, Mungu wangu kunifila.
2.Mungu wangu alinitoa Damu!
Siwezi kuelewa neon hili;
Viumbe vyote vya binguni navyo haviwezi kufahamu.
Najua tu ni kwa rehema zake Mungu,
Malaika, watu wote, mamsujudu mno.
Ni rehema tumwabudu tumwamini ndiye Mwokozi.
3.Aliondoka kule mbinguni kwa nyumba ya
Mungu Baba yake, Na utukufu aliacha afe
kwa ajili ya waovu, Rehema zake nyingi na
ukarimu kwani mungu wangu aliniokoa mimi.
Sistahili neema yake lakini aliniokoa.