Hymns and Prayers

NI TABIBU WA KARIBU

1. Ni tabibu wa karibu Tabibu wa ajabu,
Na rehema za daima Ni dawa yake njema.
imbeni malaika sifa za Yesu Bwana
pweke limetukuka Jina lake Yesu

2. Hatufai kuwa hai wala atutumai
Ila yeye kweli ndiye Atupumzishae.

3. Dhambi pia na hatia, Ametuchukulia
Twenendeni kwa Amani, Hata kwake Mbinguni.

4. Huliona tamu jina La yesu kristo bwana,
yuna sifa mwenye kufa, Asishindwe na kufa.

5. Kila mume asimame Sifa zake zivume;
Wanawake na washike, Kusifu jina lake.

6. Na vijana vyote tena, Vimpendavyo sana;
Vije kwake viwe vyake, Kwa utumishi wake.

  • Hymn
  • 40,845 views