Hymns and Prayers

TWAE WANGU UZIMA

1.Twae wangu uzima, Sadaka ya daima; Twae saa na siku, Zikutukuze huku. 2.Twae mikono nayo, Ifanye upendavyo, Twae yangu miguu, kwa wongozi wako tu. 3.Twae sauti yangu, Niimbe kwa Mungu tu; Itwa...

 • Hymn
 • 1938
Continue reading

LO, AJABU KUPATA UZIMA

1.Lo, ajabu kupata uzima katika Damu ya Mwokozi wangu! Alinifia upendoni mimi niliyemsulibisha! Upendo huu wakushangasha kabisa, Wewe Mungu wangu kunifilia pendoni, Upendo huu nashangaa, Mungu ...

 • Hymn
 • 3186
Continue reading

NITAMSHUKURU MUNGU

1.Nitamshukuru Mungu, Kwa upendo wake mkuu, Alimtuma Mwanawe, Kunifilia mimi. Kweli nitaimba nyimbo, Za upendo wake mkuu, Pamoja na malaika, Walioko mbinguni 2.Nalifanya dhambi nyingi, Nilika...

 • Hymn
 • 1988
Continue reading

IN CHRIST ALONE

1.In Christ alone my hope is found; He is my light, my strength, my song; This cornerstone, this solid ground, Firm through the fiercest drought and storm. What heights of love, what depths of pea...

 • Hymn
 • 1565
Continue reading

COME WE THAT LOVE THE LORD

1.Come, we that love the Lord, And let our joys be known; Join in a song with sweet accord, And thus surround the throne. We're marching to Zion, Beautiful, beautiful Zion; We're marching upward to...

 • Hymn
 • 1805
Continue reading

GREAT IS THY FAITHFULNESS

1. Great is thy Faithfulness, oh God my father, There's No shadow of turning with Thee; Thou changest not, Thy compassion, they fail Not; As thou has been Thou forever will be. Great is thy faithf...

 • Hymn
 • 1506
Continue reading

OMBA UAM-KAPO

1. Omba uam-kapo, omba na m-chana, Omba tena jioni, omba na usiku, Roho yangu, uache matendo ya giza, M-tumaini Yesu, omba kila mara. 2. Ndugu, uwe na nia kuombea watu, Wapenzi na adui wakusumb...

 • Hymn
 • 2003
Continue reading

MASTER, SPEAK

1. Master, speak! thy servant heareth, waiting for thy gracious word, longing for thy voice that cheereth, Master, let it now be heard. I am list'ning, Lord, for thee; what hast thou to say to me? ...

 • Hymn
 • 1598
Continue reading

NADUMU KWA AHADI

1. Nadumu kwa ahadi zake Mfalme, Yesu asifiwe kwa siku zote, Nitamwimbia sana, atukuzwe Kudumu kwa ahadi zake. Dumu, dumu Nadumu kwa ahadi za Bwana wangu Dumu, dumu Nadumu kwa ahadi za Mungu ...

 • Hymn
 • 2046
Continue reading

MUNGU MTUKUFU

1.Mungu Mtukufu aliye Bwana Akamtoa Yesu mpendwa Mwana Akawa dhabihu kwa dhambi zoteKufungua njia kwa Watu wote. Msifuni, msifuni, Nchi imsikie,Msifuni, msifuni, Bwana mshangilie, Njoni kwake ...

 • Hymn
 • 2996
Continue reading

AS THE DEER PANTETH

1. As the deer panteth for the water So my soul longeth after Thee You alone are my heart's desire And I long to worship Thee You alone are my strength my shield To You alone may my spirit yiel...

 • Hymn
 • 2002
Continue reading

LET THE WEAK SAY

1. Let the weak say, "I am strong" Let the poor say, "I am rich" Let the blind say, "I can see" It's what the lord has done in me Hosanna, hosanna, To the lamb that was slain Hosanna, hosanna, Je...

 • Hymn
 • 1522
Continue reading

SIONI HAYA KWA BWANA

1. Sioni haya kwa Bwana, Kwake nitang'ara! Mti wake sitakana, Ni neno imara. Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. 2. Kama kiti chake...

 • Hymn
 • 8585
Continue reading

TWENDE KWA YESU

1. Twende kwa YESU mimi nawe, Njia atwonya tuijue Imo chuoni na Mwenyewe Hapa asema njoo. Na furaha tutaiona Mioyo ikitakata sana Kwako mwokozi kuonana Na milele kukaa. 2. Wana na waje atwamb...

 • Hymn
 • 13055
Continue reading

DAMU IMEBUBUJIKA

1. Damu imebubujika, ni ya Imanweli Wakioga wenye taka, husafiwa kweli. 2. Ilimpa kuushukuru mwivi mautini Nami nisiye udhuru, yanisafi ndani. 3. Kondoo wa kuuawa, damu ina Nguvu Wako wote ku...

 • Hymn
 • 2170
Continue reading

I STAND AMAZED IN THE PRESENCE

1. I stand amazed in the presence, Of Jesus the Nazarene, And wonder how He could love me, A sinner condemned, unclean. How marvelous! How wonderful!, And my song shall ever be: How marvelous! How ...

 • Hymn
 • 1424
Continue reading

LOVE LIFTED ME

1. I was sinking deep in sin, far from the peaceful shore, Very deeply stained within, sinking to rise no more, But the Master of the sea heard my despairing cry, From the waters lifted me, now saf...

 • Hymn
 • 1468
Continue reading

COME, WE THAT LOVE THE LORD

1. Come, we that love the Lord, and let our joys be known; join in a song with sweet accord, and thus surround the throne. 2. Let those refuse to sing who never knew our God; but children of t...

 • Hymn
 • 1370
Continue reading

Nimehitaji Mwokozi

1. Nimehitaji Mwokozi Awe nami daima; Nataka mikono yake, Kunizunguka sana. Hofu rohoni sina, Aniongoza tena; Sitanung'unika tena,Nimfuate daima. 2. Nimehitaji Mwokozi, Sina imani nyingi; A...

 • Hymn
 • 4785
Continue reading

I NEED THEE EVERY HOUR

1. I need Thee every hour, most gracious Lord; No tender voice like Thine can peace afford. I need Thee, oh, I need Thee; Every hour I need Thee; Oh, bless me now, my Savior, I come to Thee. 2. ...

 • Hymn
 • 1477
Continue reading

SWEET HOUR OF PRAYER

1. Sweet hour of prayer x2, That calls me from a world of care And bids me at my Father's throne Make all my wants and wishes known. In seasons of distress and grief My soul has often found relie...

 • Hymn
 • 1733
Continue reading

ONWARD CHRISTIAN SOLDIERS

1.Onward Christian soldiers, matching as to war, Looking unto Jesus, who is gone before; Christ the Royal master leads against the Foe; Forward into battle see His banners go. Onward, Christian so...

 • Hymn
 • 1425
Continue reading

WHEN WE WALK WITH THE LORD

1. When we walk with the Lord, In the light of His Word, What a glory He sheds on our way; While we do His good will, He abides with us still, And with all who will trust and obey. Trust and obey, ...

 • Hymn
 • 1447
Continue reading

SHOUT TO THE LORD

1. My Jesus, my Savior, Lord, there is none like you; All of my days, I want to praise The wonders of your mighty love. 2. My comfort, my shelter, Tower of refuge and strength; Let every breath,...

 • Hymn
 • 1333
Continue reading

GUIDE ME

1. Guide me, O Thou great Jehovah, Pilgrim through this barren land; I am weak, but Thou art mighty, Hold me with Thy pow'rful hand. Bread of heaven x2 Feed me till I want no more; x2 2. Open ...

 • Hymn
 • 1794
Continue reading

ABOVE ALL POWERS

1. Above all powers, Above all kings, Above all nature, and all created things, Above all wisdom, and all the ways of man, You were here, before the world began. Crucified, Laid behind a stone, Y...

 • Hymn
 • 1454
Continue reading

The first Noel

1. The first Noel, The angel did say, Was to certain poor shepherds, in fields as they lay; In fields where they lay keeping their sheep, On a cold winter's night that was so deep. 2. They looke...

 • Hymn
 • 1327
Continue reading

WAIMBA, SIKIZENI

1. Waimba, sikizeni, Malaika mbinguni; Wimbo wa tamu sana,Wa pendo zake Bwana; "Duniani salama, Kwa wakosa rehema." Sisi sote na twimbe, Nao wale wajumbe; Waimba, sikizeni, Malaika mbinguni. 2....

 • Hymn
 • 2116
Continue reading

USIKU MTAKATIFU

1.Usiku mtakatifu! Wengine walala wakeshao ni Yosefu tu na Maria waliomlinda Yesu mwana mzuri x2 2. Usiku mtakatifu! Wachunga wapewa habari nzuri na malaika, zienezwe popote sasa: Yesu mpon...

 • Hymn
 • 1850
Continue reading

HARK! THE HERALD

1. Hark! the herald angels sing, "Glory to the newborn King; Peace on earth and mercy mild, God and sinners reconciled." Joyful, all ye nations, rise, Join the triumph of the skies; With angelic ho...

 • Hymn
 • 1257
Continue reading

JOY TO THE WORLD

1. Joy to the world! the Lord is come; Let earth receive her King. Let every heart prepare Him room, And heav'n and nature sing, x2 And heav'n and heav'n and nature sing. 2. Joy to the earth! the...

 • Hymn
 • 1368
Continue reading

FURAHA KWA ULIMWENGU

1. Furaha kwa ulimwengu! Bwana amekuja; Nyote mkaribisheni, Mioyo yenu na mpeni; (Wote wanshangilie,)x2 Na wote, na wote wamshangilie. 2. Furaha kwake dunia! Mwokozi ni Mfalme; Bonde na mlim...

 • Hymn
 • 3063
Continue reading

LORD, DISMISS US

1. Lord, dismiss us with Thy blessing, Thanks for mercies past receive; Pardon all, their faults confessing; Time that's lost may all retrieve; May Thy children Ne'er again Thy Spirit grieve. ...

 • Hymn
 • 1337
Continue reading

LORD, THY WORD ABIDETH

1 Lord, thy word abideth, and our footsteps guideth; who its truth believeth light and joy receiveth. 2. When our foes are near us, then thy word doth cheer us, word of consolation, message of sa...

 • Hymn
 • 1375
Continue reading

TUNAOMBA UWEPO

1. Tunaomba Uwepo wako uende nasi Ewe Bwana wa majeshi tusikie Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa Hatuwezi peke yetu enda nasi. Tutavua mapambo yetu Vitu vyote vya dhamani Kwetu Mioyo yet...

 • Hymn
 • 5686
Continue reading

NIONGOZE, BWANA MUNGU

1. Niongoze, Bwana Mungu, Ni msafiri chini; Ni mnyonge, nguvu Sina; Nishike mkononi, U mkate wa Mbinguni, (Nilishe siku zote) x2 2. Kijito cha maji mema Kitokacho mwambani, Nguzo yako, moto,wing...

 • Hymn
 • 6229
Continue reading

STAND UP, STAND UP FOR JESUS

1. Stand up, stand up for Jesus! ye soldiers of the cross; Lift high His royal banner, it must not suffer loss: From vict'ry unto vict'ry, His army shall He lead, Till every foe is vanquished, and ...

 • Hymn
 • 1421
Continue reading

KUMTEGEMEA MWOKOZI

1. Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tamu kabisa, Kukubali neno lake, Nina raha moyoni. Yesu,Yesu namwamini, Nimemwona thabiti; Yesu,Yesu,yu thamani, Ahadi zake kweli. 2. Kumtegemea Mwokozi, Kwangu tam...

 • Hymn
 • 44317
Continue reading

MY JESUS I LOVE THEE

MY JESUS I LOVE THEE 1. My Jesus I love Thee; I know Thou art mine. For Thee all the follies of sin I resign. My gracious Redeemer, my Savior art Thou. If ever I loved Thee, my Jesus, 'tis now. ...

 • Hymn
 • 1674
Continue reading

IMELA IMELA

1. When I think upon Your goodness; And Your faithfulness each day I'm convinced it's not because I am worthy To receive the kind of love that You give But I'm grateful for Your mercy, And I'm gr...

 • Hymn
 • 2005
Continue reading

MY FAITH LOOKS UP TO THEE

1. My Faith Looks Up To Thee My faith looks up to Thee, thou Lamb of Calvary, Savior divine! Now hear me while I pray; Take all my guilt away. Oh let me from this day Be wholly Thine! 2. May Th...

 • Hymn
 • 1368
Continue reading

KATIKA NEEMA YA YESU

1. Katika neema ya Yesu Nimeokolewa, Nilipotea dhambini, Kipofu rohoni. 2. Bali neema ya Yesu Yanitosha Sana Ilinifumbua Macho ikanifungua. 3. Nilikuwa mwenye Hofu Nilifungwa nazo, Nimefungul...

 • Hymn
 • 2485
Continue reading

THIS IS MY DESIRE

This is my desire to honor You Lord, with all my heart, I worship You All I have within me, I give You praise All that I adore is in You Lord, I give You my heart I give You my soul, I live for...

 • Hymn
 • 1261
Continue reading

EVERYONE NEEDS COMPASSION

Everyone needs compassion A love that's never failing Let mercy fall on me Everyone needs forgiveness The kindness of a Saviour The hope of nations Saviour, he can move the mountains My God i...

 • Hymn
 • 1431
Continue reading

DAMU IMEBUBUJIKA

1. Damu Imebubujika, ni ya Imanweli, Wakioga wenye taka, husafiwa kweli. 2. Ilimpa kushukuru mwivi mautini; Nami nisiye udhuru, yanisafi ndani. 3. Kondoo wa kuuawa, damu ina nguvu, Wako wote ...

 • Hymn
 • 5349
Continue reading

BLESS THE LORD O MY SOUL

Bless the Lord O my soul O my soul Worship His Holy name Sing like never before O my soul I'll worship Your Holy name. 1. The sun comes up, It's a new day dawning, It's time to sing your song ag...

 • Hymn
 • 1336
Continue reading

BWANA U SEHEMU YANGU

1. Bwana u sehemu yangu Rafiki yangu Wewe, Katika safari Yangu; Tatembea na Wewe Pamoja na wewe (x2) Katika safari yangu, Tatembea na wewe. 2. Mali hapa sikutaka; Ili Niheshimiwe; Na yanikute...

 • Hymn
 • 25126
Continue reading

NI TABIBU WA KARIBU

1. Ni tabibu wa karibu Tabibu wa ajabu, Na rehema za daima Ni dawa yake njema. imbeni malaika sifa za Yesu Bwana pweke limetukuka Jina lake Yesu 2. Hatufai kuwa hai wala atutumai Ila yeye kweli...

 • Hymn
 • 25373
Continue reading

SAVIOR, LIKE A SHEPHERD LEAD US

1. Savior, like a shepherd lead us; much we need your tender care. In Your pleasant pastures feed us, for our use your folds prepare. Blessed Jesus, Blessed Jesus, you have bought us: Yours we are. ...

 • Hymn
 • 1497
Continue reading

O JESUS, I HAVE PROMISED

1. O Jesus, I have promised to serve thee to the end; be thou forever near me, my Master and my friend. I shall not fear the battle if thou art by my side, nor wander from the pathway if thou wilt ...

 • Hymn
 • 1327
Continue reading

MBELE NINAENDELEA

1. Mbele ninaendelea ninazidi, kutembea maombi uyasikie, Ee Bwana unipandishe. Ee Bwana uniinue, Kwa imani nisimame, Nipande milima yote ,Ee Bwana unipandishe . 2.Sina tamani nikae, mahali, pa s...

 • Hymn
 • 36108
Continue reading

TWENDENI ASKARI

1. Twendeni askari, watu wa Mungu, Yesu yuko mbele, tumwandame juu, Ametangulia Bwana Vitani, Twende mbele kwani ndiye amini. Twendeni askari, watu wa Mungu, Yesu yuko mbele, tumwandame juu 2....

 • Hymn
 • 5488
Continue reading

OH LORD MY GOD

1. Oh Lord my God! When I in awesome wonder, Consider all the works thy hands have made, I see the stars; I hear the rolling thunder, Thy power throughout the universe displayed. Then sings my s...

 • Hymn
 • 1304
Continue reading

YESU KWETU NI RAFIKI

1. Yesu kwetu ni rafiki Hwambiwa haja pia, Tukiomba kwa babaye, Maombi asikia Lakini twajikosesha Twajitweka vibaya, Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia. 2. Una dhiki na maojo, Huwezi kwendele...

 • Hymn
 • 8963
Continue reading

BWANA MUNGU

1. Bwana Mungu nashangaa kabisa, Nikifikiri jinsi ulivyo Nyota ngurumo, vitu vyote pia Viumbavyo, Kwa uwezo wako. Roho yangu na ikuimbie, jinsi wewe ulivyo mkuu Roho yangu na ikuimbie, jinsi wewe...

 • Hymn
 • 2450
Continue reading

I'M NOT ASHAMED TO OWN MY LORD

I'm not ashamed to own my Lord,or to defend his cause, maintain the glory of his cross, and honor all his laws. Jesus, my Lord! I know his name, his name is all my boast; nor will he put my soul ...

 • Hymn
 • 2696
Continue reading

DOWN AT THE CROSS

Down at the cross where my Savior died, Down where for cleansing from sin I cried, There to my heart was the blood applied; Glory to his name! Glory to his name, Glory to his name, There to my h...

 • Hymn
 • 1068
Continue reading

HAVE YOU BEEN TO JESUS.

Have you been to Jesus for the cleansing power? Are you washed in the blood of the Lamb? Are you fully trusting in His grace this hour? Are you washed in the blood of the Lamb? Are you washed in...

 • Hymn
 • 1557
Continue reading

WAMWENDEA YESU

Wamwendea Yesu kwa kusafiwa, na kuoshwa kwa damu ya kondoo? je neema yake atumwagia, tumeoshwa kwa damu ya kondoo? Kuoshwa, kwa damu, itutakasayo ya kondoo; ziwe safi nguo nyeupe mno; umeoshwa k...

 • Hymn
 • 4820
Continue reading

MSALABANI PA MWOKOZI

Msalabani pa mwokozi hapo niliomba upozi Akaniokoa mpenzi, Mwana wa MUNGU Mwana wa MUNGU, Mwokozi wangu, Akaniokoa mpenzi, Mwana wa MUNGU Chini ya mti msumbufu, niliomba utakatifu Alinikomboa...

 • Hymn
 • 4218
Continue reading

NASKIA KUITWA

Nasikia kuitwa, na sauti yako, Nikasafiwe kwa damu, ya kwangikwa kwako. Nimesogea, Mtini pako, Unisafi kwa damu, ya kwangikwa kwako. Ni mnyonge kweli, umenipa nguvu, Ulivyonisafi taka, ni uti...

 • Hymn
 • 8060
Continue reading

WHAT A FELLOWSHIP

What a fellowship, what a joy divine, Leaning on the everlasting arms; What a blessedness, what a peace is mine, Leaning on the everlasting arms. Leaning, leaning, Safe and secure from all alarms;...

 • Hymn
 • 1944
Continue reading

HERE I AM TO WORSHIP

Light of the world you step down into darkness Opened my eyes let me See Beauty that makes this heart adore You Hope of a life spent with You. Here I am to worship Here I am to bow down Here I a...

 • Hymn
 • 1244
Continue reading

WHAT A FRIEND WE HAVE IN JESUS

What a friend we have in Jesus, All our sins and griefs to bear! What a privilege to carry, everything to God in prayer! Oh, what peace we often forfeit, Oh, what needless pain we bear, All because...

 • Hymn
 • 3040
Continue reading

ALL TO JESUS I SURRENDER

All to Jesus I surrender, all to Him I freely give; I will ever love and trust Him, In His presence daily live. I surrender all, I surrender all. All to Thee my blessed Savior, I surrender all. ...

 • Hymn
 • 1256
Continue reading

TO GOD BE THE GLORY

To God be the glory, great things he hath done; so loved he the world that he gave us his Son, who yielded his life an atonement for sin, and opened the life-gate that all may go in. Praise the L...

 • Hymn
 • 1237
Continue reading

KARIBU NA WEWE

Karibu na wewe, Mungu wangu; karibu zaidi, Bwana wangu. Siku zote niwe, karibu na wewe, karibu zaidi Mungu wangu. Mimi nasafiri Duniani, pa kupumzika sipaoni, nilalapo niwe karibu na wewe, karibu...

 • Hymn
 • 12445
Continue reading

NATAKA NIMJUE YESU

Nataka nimjue Yesu, na nizidi kumfahamu, nijue pendo lake, na wokovu wake kamili. Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu, nijue pendo lake, na wokovu wake kamili. Nataka nione Yesu, na nizidi kusikia, ...

 • Hymn
 • 5955
Continue reading

NDINYO DHAMANA

Ndiyo dhamana, Yesu wangu; hunipa furaha za mbingu; mrithi wa wokovu wake, nimezawa kwa Roho yake. Habari njema, raha yangu, Yesu ndiye Mwokozi wangu, habari njema, raha yangu, Yesu ndiye Mwokozi...

 • Hymn
 • 1892
Continue reading

NEARER MY GOD TO THEE

Nearer, my God, to Thee, Nearer to Thee; E'en though it be a cross That raiseth me, Still all my song shall be, Nearer, my God, to Thee, Nearer, my God, to Thee, Nearer to Thee. Though, like a wa...

 • Hymn
 • 2531
Continue reading

MORE ABOUT JESUS

More about Jesus would I know, More of His grace to others show; More of His saving fullness see, More of His love who died for me. More, more about Jesus, More, more about Jesus; More of His sa...

 • Hymn
 • 1153
Continue reading

BLESSED ASSURANCE

Blessed assurance, Jesus is mine! Oh, what a foretaste of glory divine! Heir of salvation, purchase of God, Born of His Spirit, washed in His blood! This is my story, this is my song, Praising ...

 • Hymn
 • 1638
Continue reading

IMANI YA MITUME

Namwamini Mungu Baba Mwenyezi, Muumba mbingu na nchi: Na Yesu Kristo Mwana wake wa pekee, Bwana wetu, Aliyechukuliwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Akazaliwa na Bikira Mariamu, akateswa zamani...

 • Prayer
 • 15593
Continue reading

CHA KUTUMAINI

1. Cha kutumaini sina Ila damu yake Yesu Sina wema wa kutosha dhambi zangu kuziosha. Kwake Yesu nasimama, ndiye mwamba ni salama, Kwake Yesu nasimama, ndiye mwamba ni salama 2. Njia yangu iwe nd...

 • Hymn
 • 16794
Continue reading

Yesu Nakupenda

1. Yesu nakupenda, U Mali yangu, anasa za Dhambi sitaki kwangu; Na Mwokozi aliyeniokoa, Sasa nakupenda, kuzidi Pia. 2. Moyo umejaa Mapenzi tele, kwa vile ulivyonipenda mbele, Uhai Wako ukanito...

 • Hymn
 • 2347
Continue reading

LIKO LANGO MOJA

1. Liko lango moja Wazi,Ni lango la Mbinguni, Na wote Waingiao Watapata nafasi. Lango ndiye Yesu Bwana Wote Waingie Kwake, Lango! LangoLa Mbinguni ni wazi. 2. Yesu ndiye lango hili,hata sasa ni ...

 • Hymn
 • 23357
Continue reading

STANDING ON THE PROMISES OF GOD

1.Standing on the promises of God my King, Through eternal ages let His praises ring, Glory in the highest, I will shout and sing, Standing on the promises of God. Standing, standing, Standing on...

 • Hymn
 • 1498
Continue reading

GREAT IS THY FAITHFULNESS

1. Great is thy Faithfulness, oh God my father, There's No shadow of turning with Thee; Thou changest not, Thy compassion, they fail Not; As thou has been Thou forever will be. Great is thy faithf...

 • Hymn
 • 1533
Continue reading

BLESS THE LORD O MY SOUL O MY SOUL

Bless the Lord O my soul O my soul Worship His Holy name Sing like never before O my soul I'll worship Your Holy name. 1. The sun comes up, It's a new day dawning, It's time to sing your song again, ...

 • Hymn
 • 1339
Continue reading

Apostle's Creed

I believe in God, the Father Almighty, Creator of heaven and earth, and in Jesus Christ, His only Son, our Lord, who was conceived by the Holy Spirit, born of the Virgin Mary, suffered under Pon...

 • Prayer
 • 3635
Continue reading