Hymns and Prayers

NITAMSHUKURU MUNGU

1.Nitamshukuru Mungu, Kwa upendo wake mkuu,
Alimtuma Mwanawe, Kunifilia mimi.

Kweli nitaimba nyimbo, Za upendo wake mkuu,
Pamoja na malaika, Walioko mbinguni

2.Nalifanya dhambi nyingi, Nilikaa maovuni,
Bali nimeokolewa, Yesu hunisafisha.

3.Amenipa Roho yake, Anijaze daima,
Nimekuwa mwana wake, Hunipenda kabisa.

4. Mungu wangu, nashukuru Husujudu daima,
Neno lako nitangaze, Kwa upendo popote

  • Hymn
  • 2,780 views