Hymns and Prayers

MUNGU MTUKUFU

1.Mungu Mtukufu aliye Bwana Akamtoa Yesu
mpendwa Mwana Akawa
dhabihu kwa dhambi
zoteKufungua njia kwa Watu wote.

Msifuni, msifuni, Nchi imsikie,Msifuni,
msifuni, Bwana mshangilie,
Njoni kwake Baba kwa Yesu Mwana,
Mpeni Heshima Aliye Bwana.

2. Ukombozi wetu,
tendo la Mungu, Ni
ukamilifu kwa kila mtu;
Mwenye ukosefu akimwamini,
Atasamehewa na Yesu, Kweli.

3. Ametufundisha mambo ya mbingu,
Tukafurahishwa na Mwana Mungu;
Ametuinua tukae naye,
Atatuongoza hata milele.

  • Hymn
  • 3,751 views